Naitwa k-butcha african hiphop daima
mizani na vinama natangaza chenu kiama
bado nipo fiti nisharushuka vingi vizingiti
usijaribu kuanzisha mtiti utarudi kwenu maiti
bora utoke nduki nimeshika kipaza kama bunduki
usilete umamluki fani zipo lukuki
usiende resi nami hizi tungo ni zaidi tsunami
kamwe hazituami anza kusepa kama njia ya kujihami
nipo spidi miatatu sitini kwenye lami
ukijiingiza barabarani site kamwe siami
hata mkija wengi mi nawakaba
haba na haba hapa haijazi kibaba
nakuashauri ujisalimishe jibaba
kwa maana unapambana na jitu la miraba
huu ni mwiba bora uache uadui ugeuke swahiba
kubatto na mimi ni kutafuta msiba
unajiita emcii huku mashairi kama ali kiba
njoo nikukopeshe metaphorz nikuchaji na riba
nipo smati nafanya mahesabu kama adili hisabati
ukinifata kiresi kiresi nakuacha kwenye hati hati
Njoo upate upasuaji
Started by Knifebutcher, Apr 09 2008 09:52 AM
7 replies to this topic
#1
Posted 09 April 2008 - 09:52 AM
#2
Posted 09 April 2008 - 12:54 PM
knife busha we mwenyewe umeshoboka
kutaka kujua miguu ya nyoka
ona sasa paka nanyoka nawe panya kishanuka
umefufuka ingawa hata ujivike shuka jeupe huwezi kuwa mzuka
suka njia nishashika miminika katika dimba kiuhakika
unafata kulikolipuka angalia mengine bado hayajateguka
nnachokiandika saka bucha imalika
nna upanga naona kibla ushajiweka
jiunge na joti mistali yako inanifanya kucheka
najaza kibaba cha yako hasira nakulipa hasara
we bado mzuri unafaa kuuza sura
hapa utawila niko ful sera nakera kama ukianzisha mjadara
niko college napora knowledge omba mola ipandishwe wedge
sio unawaza upasuaji wa sura mfa maji umekutana na uji
uji wa acid unaoondoa taraji la taji kwa bucha mzugaji
nikiwa ful mood natema kama radi nasahau kuisha kwa chaji
chaji ya wako ubongo mchanga usioitaji maggugu maji
una kipaji!yes cha kuchimba mfereji
wa kutiririsha wote wazugaji nishaanzisha mauaji
wa kwanza mizani wa pili wewe mchekeshaji
VINAMANA NDO INCHARGE! salute!

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#3
Posted 26 April 2008 - 02:47 PM
ulichoonja ni dibaji kinachofata ni mauaji ndani ya chumba cha upasuaji
heavy weight emcii bado namiliki taji naishi kama fisi maji siwezi kufa maji wala kuwa mchekeshaji.
uemcii haupimwi kwa kuunganisha vina kama minyororo
kwangu we nyoro nyoro usilete kokoro intro tu imekupa kihoro
kama mshikaki nakuninginiza kwenye mboro nakutembeza dar mpaka moro
moto nishaukoka hapa hutoponyoka nakukata kata na shoka kisha nakulipua na bazoka
kama broiler huwezi kunitoroka.Nakunyonyoa manyoya tayari kwa kukuoka
butcha si wa kushoboka kinda hapo umeropoka umelamba garasa badala ya joka
Hatua unazopiga ni za kurudia ulipotoka
mkongwe sijachoka bado natema sumu kama nyoka
nafoka foka toka enzi za tuffjam a.k.a knocka
kivipi uwe suka dogo acha kuwehuka hiphop imekushinda kajiunge na bichuka
usijipime kwa kuumuka bado mteke hujapevuka
nacheka jinsi ulivyokurupuka ni kama akili zinakuruka
kama kweli upo college unayopora ni fake knowledge
kivipi ubishane na surgeon wakati unasomea unesi
ukimpasua mgonjwa maabara ujue ni kesi
usinletee kibesi nitakudunda dunda kama kitenesi
natema vernomz zisizo na tafsiri kwenye kamusi
punchez zako ni kama umbea wa kwa msusi
huwezi kumess na hizi propaganda za kijasusi
nakukumwagia manuksi nakufanya matusi ukintazama nakumeza kama chunusi
kwenywe batto sigusiki kwenye ujazo sipimiki nipo deep zaidi ya kisiki
nasonga front kama mungiki maiti nazoacha hazihesabiki
sifanyi hiphop sababu ya dhiki sibatto kwa nguvu ya stiki

#4
Posted 05 May 2008 - 11:43 AM
unazidi potea katika kitaa cha mjita
kuruta nimekwita umeitika
kwa malaika wa kifo nakufuta kila mita
nnayoandika tata kifuani kwako chata
tuta hili linakufanya kutweta
unahanya kama unataka tita
vile nakufanya kama nyata
utajuta kurukia msala usiopita
unatema vepa- vampa acha pupa
kwangu we ni kama sapa
nishakuchunguza kama epa
nakubeza hii pepa napeta
nacheza karate sio karata
we kihiyo mwenye mbio kama bata
umefata nyayo za nyoka ona linavyobumbuluka
unaumuka kama andazi kila nnavyokufanyia maangamizi
vinamana mjuzi we kwangu changu sikupigii miluuzi
huwezi ninyonyoa nungunungu usifananishe jua na mwezi
mkwezi busha umeparamia mchongoma uliosimama wima
stima vina shehena nakulevya kama moshi wa ng'ana
vema natema ndani ya mzizima gorila niko mjengoni kima unazima
......................... :arrow:
ulichoonja sumu kinachofata maziko
kituko huna mwito wala maandiko
kitako tulia umeingia kusiko
mzamiaji utahama mji
funga mkwiji kwaheri -na dole la chuji
mvaa pedi unattaka unipe masaji
sina manii za bure richaji chako kiraji

#5
Posted 05 May 2008 - 11:47 AM

#6
Posted 23 May 2008 - 09:41 AM
flo sick imesimama kama nguvu za viagra kwa dick
nakuacha na kwikwi mikiki bahari ya sham huna imani huvuki
nshakulewesha kama umekunywa wanzuki mamluki nakukata kama keki
sasa check!naongeza friction break huwezi sogea wala kujipindua
jipindue ubanjuliwe kama korosho uliwe nimesizi ka simba sharubu usinchezee
mazee hapa hakuna magori ya kuotea potea kama uko mitaa ya uswazi
mdwanzi kuwa south haimaanishi umeijua dunia nakufukia kama maiti
nnavyoreplay ni kama dozi ya usingizi-kiasi unashindwa kujibu hizi tenzi
we mbuzi hapa si uwanja wa majani sina mapenzi na upuuzi !........SEPA.......

#7
Posted 27 May 2008 - 12:24 PM
Kidagaa unaleta bifu kwa papa lazima ntakumeza
kiwango duni bado unacheza kamwe hutoniweza uwezo wako naubeza
ongeza ongeza juhudi ipo siku utaweza
Nakuuliza kwenu jeneza washatengeneza?
tangaza msiba kwenu wajindae kuwa wafiwa
kusalimika ni ngekewa nishasuck oksijeni hakuna hewa
kila keyboard press naangusha punchline tani moja
Mi na zaidi intellectual hatuwezi pimana kwa hoja
nachomoka kama space shuttle wakati bado unajikongoja
Iam da frontline soja naishi ndani cypher usidhani tupo pamoja
Nakuona mpuuuzi unapigana kwa panga wakati nina bazooka , submachine gun na UZZI
usilete makuzi huna chembe ya ujuzi labda kukuna nazi
huu si mnuso wa heri tafakari kabla ya hatari
nipe hiyo nukta ili nikonyeshe wangu ulijari
kubatto na wewe ni sawa na kushindanisha glopu na kibatari
nina mistari ujazo wa bahari nishakuandalia friji kule mochwari
nakufananisha na kitorori kinachojaribu kubeba mzigo wa lori
punchez zangu gruneti sio zako love stori kama za wangu shori
The Most Feared Assasini Napiga vipapai kama jini
hamnioni kamwe hata muwe makini
sifi hata kwa quinini nipo sugu zaidi maleria

#8
Posted 28 May 2008 - 11:27 AM
Mwana tone la maji huwezi lipiga danadana
umekutana na vinamana inabidi nafsi yako kuikana
kisha fata kaburi bila kutaka zozana
kwa maana dicomposer bakteria nimevamia shina
punch kama JOH ila intense kama pina
swali na majibu vinapatana
na bado kichwa nakuna sio nazi tui kuona maziwa
wusia nishausoma juu ya mbao naandika lako jina!
hukuambiwa! usitembee usiku utakutana na nilie-itoa roho dhamana
kwa haya maisha ya ndoto za mchana!
uko kwenye C-CYPHER kipenyo hakuna!
nazama kina kwa sana ndo maana hupati ujuzi usiosemekana
mgema unajisifia na maji hakuna
miti haujaniikata unajisifiaumesuck oxygen yote
jifungie ndani hapa nje hali ni tete
space shuttle kati ya 100 gravity force ni kama kiwete
bado haujabalee kimistali acha nikukekete!
kwa gansta kuskia snicher amekufa its a luv story
get ryt!vaa pant ya chuma dick kila mahali

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users