Jump to content


FILANGA FREE_ STYLE HAPA!!!!


2 replies to this topic

#1 D-LINKWENT

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 130 posts

Posted 08 April 2008 - 05:07 PM

ayo..ayo..nah phuk it..wacha tu switch style kiasi..

sasa inaokenana hapa ndo base ya mtaa..twa freestyle na Engo mara mob acha tu jaribu swa..
ju na juwa ya kwamba... ma rhymes zinaweze bamba.. kaa mgu ya mzungu ikishikwa na Mamba..
(ati crocodile hunter??)..
ama kama mdingo ameshikwa na kamba..story za "leta tyre" na leta fire yamezidi ...siku hizi
ma babie tuna pak mto so kweli tuta leta fire..mimi ni Alpha Beta Phi na.. utafanya nini..
ntaendelea kuflow ka hii disease ya ukimwi..yani vile ina spread na kugrow kisha inakumaliza kimwili...


....

#2 Couzifer

    African Hip Hop King

  • Members
  • 1,570 posts
  • LocationEden...Naked!

Posted 09 April 2008 - 07:45 AM

FILANGA FREE??!!
...basi cheki na keystyle na lugha ol'skool ka jumu za plati/
nikukumbushe game ya katti,si pia tuliicheza na hakina Obati??/
hukumbuki vile mathako alituona tuliporusha mawe kwa mabati!!/
kuchapwa na belt kwa matako mpaka ng'otha inararuka/
kesho yake tushasahau fence ya yule jirani chief tunairuka/
eti kusanya mapera..haha, kwani ni akili zilikuwa zimeturuka?!/
najaribu kurukisha akili yako back to memory lane/
uone vile utoto ulikuwa unakupeleka off the lane/
sisemi ati ulikuwa insane........
ni vile tu najiskia kuflow backwards ka maji kwa ile mlima ya uko machakos/
Fuck wit' me n' I'ma break u' skull, expose u' brains to reality/
jus' to make u' think outside that box u' call a head/

* I don't only think ahead, but ma' thoughts surpass those of a single head * |Couzifer|

#3 mizani

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 76 posts
  • Locationmombasa,kenya

Posted 17 May 2008 - 08:20 AM

bongo ina vuja fikra na mitazamo yakuwaponya
tatizo hawaamini macho hata walichonacho hakiwezi kuwakanya
tufunge biashara homecoming ya aliyetuletea hasara?
kristo, hawaoni sijui paka tukoroge matope ndio taswira zitangara
hawaachi kutugawanya kutulewesha na uongo ka anayetaka kum'bikiri bikra
kumbuku ya mahangaiko njaa watoto ilivyowakunja sura
hawajui hata tuliko, kwao muungano ulilitibu swala
nina hamu na ngano ila, sa ni ngano ka ,ya mnyoo kummeza swara
nikizidi kuflow nahisi ukweli unaomba mwili ukae wauone kamili
ila watasema mazinga ombwe kinachowafichua siwanaomba kisalie siri?





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users