minara isiotikisika na kina chake hakichimbiki
usilisumbue jasho ata maadui wanaeka tiki
maana hili doa halitafutika ata usiilaumu sabuni
yaani nakuchafua kichizi ata tatoo ni ka mtoto wa mapajani
vnorm naskia unamind life mpaka mdomo condom ndo upige jate
kwangu kulost niatake jah usiseme ulishawishi mkono wake
hukuskia ushindi nilipewa juzi we choko uko late
na haujui mkate ukioza haurudishi ladha hata ukitafunia na chocolate
tena sikwambii udharau wembamba wa reli
wala uupe jukumu la kuibeba meli
nakukumbusha hukuteleza umeanguka na hauokoki
kihiphop hauna uzima waambie wakuzike wakati mabuu hayatoki
eti bado unamsaka paulo ukumbuki minyororo ilivyofanyika gerezani
unapotaka kunisulubu ata biblia ya kukumbusha modekai na hamani
eti unasikitika hapa project sio kulegeza sauti ndo upate fame
hapa project ni kuonyesha misuli ya brain
mizani nishafanya mambo sasa eka utoto wako.
mizani vs vnorm battle inaendelea
Started by mizani, Mar 22 2008 07:44 AM
4 replies to this topic
#1
Posted 22 March 2008 - 07:44 AM
#2
Posted 25 March 2008 - 01:20 PM
haujakomaa bado? juu rhyme ZAKO NI HAFIFU.
kukuBATTLE NI AIBU/ lakini umelilia wembe shauri ZAKO JIADHIBU/
yangu tamu ka'a maji ya chungwa, YAKO NI YA NDIMU!
last time we fought you WENT DEAD, now you'll GO DEADER?
i wont stop untill you'r BRAIN DEAD and your SOUL'S SEVERED/
coz since then I've GROWN BETTER/
we' ni mkubwa lakini mwizI. kuiba FLOW LENGA..
mi ni mdogo lakini jizi* niite GO GETTER
Itabidi niya'tafsiri' kwani si'rap siri'/
staki wengine waniulize ''uko BIASED MBONA?''
ndo maana nimeingiza lugha ya kiDIASPORA/
mara ya kwanza ulihepa juu natema FIRE MJOMBA.
acha hiphop rafiki, kwanza WEWE NI NANI?
Hujui vita vya ndani hazimhusu NDEWE JIRANI?
vipi kifaranga wa pwani dhidi ya JIMBI LA BARA?
hatutaKi MiZani, unless ni ya ku-PIMIA NYAMA!
* Jeezy. 'go getter' ulikuwa wimbo wake.

#3
Posted 09 April 2008 - 02:17 PM
jiungeni wanamama kunikabili
mashairi yangu bovu dali
angukia nyie wanawali
kimistali hamuoni mbali siwezi wadahili
bado watahiniwa till mtakapozisuta zenu nia
bongo tzii aminia vinamana representa wa mtaa
shikeni mabango lalamikeni mmeingiliwa
niwakate kama matango kachumbali sawa
nacheza kama kiungo nawageuza kama pia!
wakiwa wa hoja za msingi kuzizua
kama surua nawapa mwasho wa kujua
kuwa vinamana naagua
kenya imbieni waschana maana mko sawa jinsia
ama chakacha vnorm na mizani mtatusua
vua pamba vua kofia
kisha kwa ardhi apia
mwisho utajua vinamana chawa
ninayeibukia kwenye rym zenu chafu zenye kuboa
unless mmejiweka safi ndipo ntawaopoa
okoa!kwa ncha ya upanga niliounoa!
noa nishatengeneza safina endeleeni kuchekelea!
mtaisifia mvua hii inayowanyea
BONGO TZII 3 - KENYA 0
Nishalianzisha huu moto hauwezi ishA
Epusha ugomvi kwa kujichekesha
mmoja kiwavi ghala zima naliozesha
niko straight hakuna kuepesha
vnorm mizani nawakalisha
amisha topic nyingine anzisha
BONGO vs KENYA

ZAO LA MTAA
T.M.K akademy-non shobo squad
T.M.K akademy-non shobo squad
#4
Posted 12 April 2008 - 12:04 PM
vinama'na said:

U got skills cat, take it seriously coz u can be good if u wannna be.
peace
#5
Posted 12 April 2008 - 12:08 PM
ur language aint even understandable. i wouldnt battle shit i dont get. Dude! swahili lenu halieleweki so we cant communicate shit. huuud?
1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users