Been away on a hunting safari that took all my (September) time
See am a professional hunter as well as I rhyme
Sorry am not tryin to be Mr II
so plz don 'boo'
Think you appreciate what I do
As am here for you
Jus to let ya know that am back
Like Shaq
Na kama uko tayari ku battle
Basi njoo usiwe na mchecheto
Njoo ucheze na Smokey wa ghetto
Hapa ghetto hatumind wachumba sisi tunapiga punyeto
Bichwa langu baya limejaa moshi na mashairi
Ambayo ukicheza yatakutairi
Nimerudi tena Smokey...
Nimerudi
Started by Guest_SmokeyOl'BhangLeaves_*, Oct 04 2002 08:56 AM
12 replies to this topic
#1 Guest_SmokeyOl'BhangLeaves_*
Posted 04 October 2002 - 08:56 AM
#2 Guest_mr blow_*
Posted 04 October 2002 - 04:38 PM
sawa lets battle yo...lete mstari ok peace yo....anza 123 fight
#3
Posted 09 October 2002 - 01:02 PM
Mr Blow una rhymes lakini?
Manake duh masikini......
Lazima mwanangu uwe makini
Ukikutana na mimi
Muulize Ambax nilimkata kilimi
Kwa sababu hili bichwa langu baya
Lina mashairi yasiyo na haya
Yatakayo kuja kwako kama faya
Hebu kwanza nipe kaya
Nnipate stimu nikupige ngumi ya kwenye taya
Hapo mwanangu nakupiga tu mkwara
Usiogope saaana ila usije kwa papara
Kwani Smokey mimi noma naweza kukupiga kipara
Unanisikia Mr Blow?
Angalia usije ukabaki unasema nooooo
Mimi ni soo
Halafu nikishagundua
Kwamba kwa rhymes unasuasua
Basi sitajisumbua
Kuendelea na battle
Nitaacha kwanza ukaogee deto
Ili ukirudi uwe zaidi fresh
Ndio upambane tena na mjeshi.......
Mimi ndio SmokeyOBL................................................

#4 Guest_mr blow_*
Posted 12 October 2002 - 07:16 AM
kumamake//mimi simind mistari yakidemu dogo//halfu unazani ni mkali//rudi home//kajicheki vizuri//kwasababu wewe//unabatisha mistari//halfu unakuja kisitaduuu//mimi nina tema vina//vikali utazani wenbe//nikitema ill//niggaz wanazani nina mafua//ninazani wewe una//vikilia kutoka mkundu//rhyme zako pia zime hoza//wewe sio wack//hila basi tu//wewe si ill//halfu toa jina langu//kwenye mdomo wako//wewe mtoto//utazani unayoya vidore//................... :lol:
#5 Guest_SmokeyOBL_*
Posted 13 October 2002 - 08:54 AM
Huwezi kabisa rhymes kwa hiyo bye bye mtoto.......I cant waste my time with muthafukkaz like u, bye mtoto
I need someone who knowz how to rhyme not you
Bye
SmokeyOl'BhangLeaves
I need someone who knowz how to rhyme not you
Bye
SmokeyOl'BhangLeaves
#6 Guest_mr blow_*
Posted 13 October 2002 - 11:16 AM
haha wewe demu tu :lol: i also aint got time to battle jobless mcz......
#7 Guest_mr blow_*
Posted 13 October 2002 - 11:25 AM
haha wewe demu tu :lol: i also aint got time to battle jobless mcz......
#8
Posted 12 December 2002 - 03:52 PM
Huyo mtoto anayepakaywa hapo juu hana issue ndio maana sikutaka battle naye, hajui rhymez kabisa.....
Njoo kwa undisputed champion wa rhymez.....
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu rrrrrrrrrrrrrrrreaDY?
Njoo kwa undisputed champion wa rhymez.....
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu rrrrrrrrrrrrrrrreaDY?
#9 Guest_Wachizi wa tennis_*
Posted 13 January 2003 - 12:54 PM
Nyie makuma mnajifanya mnajua sana kutunga mistari kuma za mama enu wasenge tu!
Kama mnajua kutunga mistari kwa nini msitoa albam zenu ziskike ila mnajifanya kuja kubishania katika web za wanaume?
Fungeni mikundi yenu inanuka msije mkatuambukiza usenge wenu ka huyo mwezenu ODB
Gaden Lecoq club
Arusha.

#10 Guest__*
Posted 10 March 2003 - 04:38 PM
niaje jamaa? huyu ni juacali(Kenya in the house)
kuna ngoma yangu mpya inaitwa nipeasali
leo jo ndio nimevisit hii site yenu
na ni kali jo lazima niwa tembele huko kwenu
kuna ngoma yangu mpya inaitwa nipeasali
leo jo ndio nimevisit hii site yenu
na ni kali jo lazima niwa tembele huko kwenu
#11 Guest_ManziWaNai_*
Posted 06 April 2003 - 07:23 PM
Jo hapa nimecheki/ Mamanzi, masistah wamasleki/ Basi nimeamua kuwashow/ Kuangusha rymez mindz zenu niwablow/
Nyi wasee mna talent, jo/ Mbona mnawaste all that's latent joh/ Wachizi wengi wameocupy centerstage ya nini/ Rhymez zenu ngano zinabuni/ Lessons zina'eza teach/ Life ni kunijikaza kisabuni jo...
Nyi wasee mna talent, jo/ Mbona mnawaste all that's latent joh/ Wachizi wengi wameocupy centerstage ya nini/ Rhymez zenu ngano zinabuni/ Lessons zina'eza teach/ Life ni kunijikaza kisabuni jo...
#12 Guest_Mad_*
Posted 01 May 2003 - 10:28 AM
no way .mtakuwa mmelewa,
mbwembwe nyingi mwishowe matusi..
kama kurhyme hujui chukua kopo ukanye..
tuko bizee na kazi zetu..
hatuji kuchungulia wenu ubutu,
sanaa ni kipaji na si wako utupu,
nawakilisha mumuhumu na kujigongonga kwa producer marufuku,
acheni kubwabwaje kama kasuku,
mmesikia au na nyie mmekuwa masakuu,
acheni wanga hatuuti tena utukutu,
inachosha sana mpaka umeota ukurutu,
ntakuwepo siku zote na si leo tu.
ciao

#13
Posted 09 May 2003 - 03:14 PM
nashangaa wametokea wapi hawa wazee wa tennesi
wanatumia lugha chafu yenye mfanano na kinyesi
inaonyesha wazi kabisa wameishiwa vesi
kweli ninyi ni wanaume ama warembo kama Sesi
nawa- warn ninyi 'wazee wa tennis' huu si uwanja wa matusi, tena matusi yenyewe ni yaleyale tumeyazoea toka utotoni
msidhani huo ndo mwendo wa kimamtoni
mtakuja kufa na mboo zikiwa mwenu midomoni
siwekagi beef na wapuuzi, nna beef na yangu mikrofoni
ndo maana kila niendapo siiachi mwangu mkononi
nna-freestyle popote, Kimara maskani hata iwe kigamboni
wengi huwa hawaamini, wanadhani wapo ndotoni
niliwapa walokole acapella wakahisi wapo peponi
itakuwa ninyi vinabo mpaka leo mnavaa raizoni
0hoooooooooo, wa kunitisha hapo sioni
mkitaka ku-beef na mimi, mtakaribisha watu kilioni
aaaH...saa12 jioni saivi natoweka...Cafe inafungwa 'cant freestyle nommo
alcapaino.Mg
'the Most Illest 1'

1 user(s) are reading this topic
0 members, 1 guests, 0 anonymous users