Jump to content


Wale wa boli mpo?


12 replies to this topic

#1 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 07 December 2001 - 11:41 AM

Kombe la dunia linakuja na kama kawaida yake kuna vibweka kibao sasa nataka niwapatie kidogo katika uchunguzi wangu nilioufanya na kama wewe unala kuchangia unakaribishwa

Mwaka 1994
fainali ilikuwa brazil+Italy
Italy wakiwa na star wao-roberto Baggio
hapa ndipo umaharufu wake uliposhuka
baada ya kukosa penalti
brazil wakapanda chat

Mwaka 1998
Fainali ilikuwa brazil+france
brazil wakiwa na star wao Ronaldo
Hapa ndipo umaarufu wake ulipopungua kwa kushindwa kufurukuta fainali wakasingizia degedege
Ufaransa wakawa mabingwa na Zidane kupanda chat

2002
natabiri ufaransa na Ureno kuingia fainali
Zidane kuboronga na Figo kuendeleza maajabu

#2 Guest_<Anna>_*

  • Guests

Posted 07 December 2001 - 03:36 PM

mi nichajua hapa ni mambo ya muziki tu, sasa mambo ya kombe la dunia yanatokea wapi tena? kama huna cha kusema ni heri ukae kimya usivunje massharti ya forum lasivyo mimi kama director nitaku-kick out(nimetia kizungu kuonyesha msisitizo) jirekebishe.

#3 Juma4

    African Hip Hop Admin

  • Administrators
  • 1,015 posts
  • LocationAmsterdam

Posted 08 December 2001 - 05:12 AM

maneno makai hayo!! au tuweke sehemu maalum ambapo waswahili wataweza kuongea chochote kisichohusika na music... maanake hakuna sehem nyingi kwenye web ambapo kiswahili kinatumika so sitaki "kuwalisha kobis"

#4 sosa

    African Hip Hop Regular

  • Members
  • 168 posts
  • LocationTanzania, manzese kwa mfuga mbwa

Posted 07 December 2001 - 07:14 PM

jamaa huyo ni kama jina lake yani mambobado kwa hiyo ni wazi kuwa mambo yake bado yapo nyuma sana miaka ya zana za mawe. Haina haja ya kuanzisha forum ya kiswahili ambapo kitu chochote kitazungumziwa hapa tuna dili na hiphop basi!
Amani.

#5 Guest_<Diabo>_*

  • Guests

Posted 07 December 2001 - 07:35 PM

Ukitaka kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali kwa kiswahili waweza kwenda kwenye bodi kama hii http://www.bcstimes....d/ikonboard.cgi

#6 Guest_<josephe>_*

  • Guests

Posted 27 December 2001 - 10:35 PM

mambovipi anna mbonakimya nimeona manenoyako simchezo nita kuck yess ok tuwasiliane kwenye tssamo@hotmail.com ok
vipi unahabali kuwa janeti naye ana hekti pichaza uchi x da amakweli pesa nikitu kingine daok sinamengi tuwasiliane kuwa story zaid.

#7 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 29 December 2001 - 09:36 AM

yakhe mboni mwanitolea maneno makali nyie
sie wengine si tushazoea boli sa miziki si twajua taarab tu kidogo naweza sema namjua solo
jamani karibuni zanzibar nyote nawakaribisheni mje mle pweza mkishindwa hata rafu nyinyi cheza

#8 Guest_<227pwg>_*

  • Guests

Posted 16 January 2002 - 05:18 AM

diabo mambo vipi hii websati simchezo hinamambo mengi sana.nimejalibu kutizama nimeoakuwa nchiyetu hina vitu vingi lakini mitambo na mapesa ndio kidogo
safisana yo washiakji nendeni kwenye websait hiiyo hapo juu hutaona vimondo vya tanzania ok bye
thanks
namimi nitakupa websait yangu yamasikani hitakamilika sikumbili zijazo byenow
images/smiles/icon_eek.gif images/smiles/icon_cool.gif images/smiles/icon_rolleyes.gif images/smiles/icon_razz.gif

#9 Guest__*

  • Guests

Posted 05 November 2002 - 12:34 PM

Oyaa hayo mambo ya boli yamekujaje huku katika hip hop?umeshawahi kuona kunguru akiruka na njiwa?wewe babu yangu unaleta mambo ya boli katika website ya hip hop?

#10 Guest_Mr,Chechnia_*

  • Guests

Posted 07 November 2002 - 09:56 AM

Sivyoooooooo! wewe Anna unasema wewe ndio director ila sio fresh wewe hatakama unacheo siu unatutishia maisha kama mtu kakosea sio inajifanya kuja juu kama moto wa kifuu!!!!
Hakuna mtu anatishika na maneno yako kama uta kick-out basi mimi nita kick-in ziko website nyingi tu!hakuna chochote tunachopata kutoka kwako?Sio wote wamind vijipopo vyenu?wengine watu wa dili tu! hatuna fani sisi fani yetu mawe tu!tunasikiliza ngoma za marehemu bob tu!tukishapata mzuka basi tunapanda tu!
Oyaa wwewe endeleza boli kama unaona namna gani vipi basi nipigie simu yangu nitakupa website yako!!!!!

#11 ODB

    Advanced Member

  • Members
  • PipPipPip
  • 40 posts

Posted 13 November 2002 - 01:55 PM

sasa mewaona wanangu wenyewe hao UMOJA CREW kutoka zenji halafu museme sisi hatujui miziki ila nyinyi ndo mwajua boli kushinda sie basi niwaambieni mi nashangaa nyie mwasema eti mnaibiwa sijui haki miliki mtalilia aki miliki wenzenu huku wanauza nyimbo zenu kwenye quality CD tena mixin tape sio huko manauza kanda tena ya msanii moja moja mnatakiwa mbuni njia amabyo itawawezesha watu kupata collection sio albamu ya watu

#12 Guest_Wachizi wa tennis_*

  • Guests

Posted 13 November 2002 - 03:22 PM

SoaaaMambobado vieeembieee vijihiphop vyao!hivyoooo!nyiee imbeni wezenu walaliulainiiii huko Zenji tu!mambo zenjituuuuu!



Gadel leqoc club
Arusha.

#13 Guest_wale wa boli mpo!_*

  • Guests

Posted 14 November 2002 - 01:56 PM

Mnajua wabongo sisi wabishi kishezi kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu.Mimi naona hawa wasanii ambao wanajiita wana hiphop sio! Nyie mnapoteza muda wenu tu! bure wezenu wanajipatia fedha kutokana na jasho lenu nyie mnaimba wezenu wanatengeneza pesa kwakutumia jasho lenu.
Kila siku mnalalamika mnaibiwa haki zenu wakati nyie wenyewe ndio mnashindwa kuandaa mambo yenu kikamilifu.Msipoangalia mtajukuta mnaishia hivyo hivyo tu!Hapa Tanzania hakuna kitakachoendelea wasanii watavuma tu! kwa muda kisha mtajiachia wenyewe tu! Hiyo hip hop kwasasa inavuma ila mtakuja kuona wenyewe baadaye.Kipindi cha taharabu kilivuma Adija kopa wakapanda chart ila sasa wamechemsha tu! ila nyie mnaojiita wana hiphop mnapoteza muda wenu tu! bure.Mwangalieni mwezenu Mr2 yuko wapi kaaimba kachoka hivi sasa kachungulia dili anapiga nyie mnajifanya mnajua hiphop sio?Wangapi walikuweko wakavuma sasa wamechemsha wako tunawaona sembuse nyie mnajifanya mnachipukia.
Hivi sasa kila mtu anataka kushika Mick sijui wasanii nani atamsikiliza mwezio.
Mimi nawashauri tu! kama mambo yako yakikubali fanya kweli tu! ila hizo nyimbo mnazotunga wezenu ndio wanajichukilia utajiri kutoka katika vipaji vyenu tu! mnapoteza muda ila iko siku mtaona huu ukweli uko wapi.Kila mtu anajifanya kuwa prom ila hao ndio wanakula jasho lenu tu!





1 user(s) are reading this topic

0 members, 1 guests, 0 anonymous users