Vazi ni vazi

Nakuunga mkono na pia nakukumbusha kwamba vazi ni vazi,ili mradi tu watu wasiende uchi,Kwani vazi la wabongo ni vazi gani?kama batiki hata wazungu wanazivaa sana lakini sidhani kama kuna mtu kawaambia kwamba waangalie kwanza vazi lao ndo waje wafikirie ya kutoka mbali.kila mtu ana hoby yake ya kuvaa,wewe mwenyewe kwanza jiangalie ni nguo gani unazipendelea alafu urudie tena kuwapa hoja maemceeee.Fubu,mecca zote ni sawa tu na batiki tofauti ni manamba namba kama batiki wakiyatia manamba nadhani watumiaji wataongezeka.

M:P

Comments

Sign In or Register to comment.
African Hip Hop Radio
Advertisement