utatoboa mchafuaji aka sijui knifebutcher ama kitu ka hiyo..

ati mchafuaji hujui unamess na wauaji

wathii wanakunywa damu badala ya maji

ndo tucompensate machozi mnalia

ukiwa kushoto vunja kulia

shoof jeshi imara imetulia

kuishi na manyoka natema tu sumu

kijemedari kama mr 2 aka sugu

asisimame kama bubu

piga magoti tubu

si bila shaka wajua ni smokey na hichi kifungu

Comments

 • 3 Comments sorted by
 • Vote Up0Vote Down
  edited May 2006
  usinletee utani we kinda .. am da most feared assasin :evil:

  nashusha dibaji nafanya mauaji

  sifosi hiki ni kipaji testi zari usombwe na maji

  kichwani mizuka ndo ishanipanda..

  naleta vita vya propaganda..

  shoto kulia naongoza gwaride kama kamanda

  mashairi kona zote nimezitanda..

  emcii jifanye mwerevu kama ujavishwa sanda

  vina maksi banda.. kwenye cypher naranda randa

  mjeshi kamili ndani ya gwanda..

  kabla ya batto tafuta wa kukukanda..

  maana hizi punchez zinaharibu kila ukanda

  bucha ndo jina langu..na hiphop ndo maisha yangu

  bora upunguze spidi usije wangu wangu

  maana breki zikigoma utakufa kibangu bangu

  nashuka vernomz za kinabii..

  wananiita lyrical masii..

  nakuja kuokoa hiphop mida hii..
 • Vote Up0Vote Down
  edited May 2006
  baniani.
 • Vote Up0Vote Down
  edited November 2010
  [quote name="Knifebutcher"]usinletee utani we kinda .. am da most feared assasin :evil:

  nashusha dibaji nafanya mauaji

  sifosi hiki ni kipaji testi zari usombwe na maji

  kichwani mizuka ndo ishanipanda..

  naleta vita vya propaganda..

  shoto kulia naongoza gwaride kama kamanda

  mashairi kona zote nimezitanda.. Cirque du Soleil KA Las Vegas Shows Things to do in Las Vegas

  emcii jifanye mwerevu kama ujavishwa sanda

  vina maksi banda.. kwenye cypher naranda randa

  mjeshi kamili ndani ya gwanda..

  kabla ya batto tafuta wa kukukanda..

  maana hizi punchez zinaharibu kila ukanda

  bucha ndo jina langu..na hiphop ndo maisha yangu

  bora upunguze spidi usije wangu wangu

  maana breki zikigoma utakufa kibangu bangu

  nashuka vernomz za kinabii..

  wananiita lyrical masii..

  nakuja kuokoa hiphop mida hii..[/quote]

  asante!

  -Jim
Sign In or Register to comment.
African Hip Hop Radio
Advertisement