Itakuaje

Itakuaje kuingia heaven bila kudedi/

inakuaje naota ndoto na sijalala/

ntashiba aje nasijala/

sonko ata kua aje safe/

na wengi wako hungry/

tutachekiaje vision 2030/

na viongozi ni walafi/

uta omba aje Sir God/

na hi pande ingine unaconsult mganga/

itakuaje mi ni brother/

sa yenye tu una need help/

tutaongea aje ju ya unity/

na wenyewe tunajiekea barriers/

umuhimu gani kuimba national anthem/

na huku tunajigawanya kwa tribal kingdoms/

utathink aje outside/

na ulisha ingizwa box/

mind zimefungwa ka dread locks/

uta fly aje na uwivu ya msaliti/

inakurudisha down kagravity/

nta fill aje blanks/

yet na uliza maswali hayana answer/

Comments

 • 1 Comment sorted by
 • Vote Up0Vote Down
  edited October 2010
  [quote name="tha high priest"]Itakuaje kuingia heaven bila kudedi/

  inakuaje naota ndoto na sijalala/

  ntashiba aje nasijala/

  sonko ata kua aje safe/

  na wengi wako hungry/

  tutachekiaje vision 2030/

  na viongozi ni walafi/

  uta omba aje Sir God/

  na hi pande ingine unaconsult mganga/

  itakuaje mi ni brother/

  sa yenye tu una need help/

  tutaongea aje ju ya unity/

  na wenyewe tunajiekea barriers/

  umuhimu gani kuimba national anthem/

  na huku tunajigawanya kwa tribal kingdoms/

  utathink aje outside/

  na ulisha ingizwa box/

  mind zimefungwa ka dread locks/

  uta fly aje na uwivu ya msaliti/

  inakurudisha down kagravity/

  nta fill aje blanks/

  yet na uliza maswali hayana answer/[/quote]  yup itakuaje for real this is nice.....

  itakuaje kwenda kuenda kusoma na hamna mashule.

  itakuaje kutafuta chakula bila hella mfukoni.

  itakuaje wanasiasa wanazidi kunenepa na bado tukona watorokaji wakindani...

  itakuaje?? Swala ni hilo
Sign In or Register to comment.
African Hip Hop Radio
Advertisement