Sauti Ya Chini

Ati ni maendeleo/

wanabomoa biashara/

kutengeza barabara/

ati ni by pass/

average citizen aezi pass/

avuke io side ingine ya poverty/

naskia kuna experts committee/

katiba ni ya wenye nchi ama wana nchi/

wakistruggle kumake salasa/

inabaki ni mwana siasa/

ndio anachambua hizo kurasa/

una cast ballot but decision uliamuliwa/

fungua macho kabla haujaliwa/

wenye tukieka ofisi/

kumbe ni mafisi

Comments

 • 5 Comments sorted by
 • Vote Up0Vote Down
  edited May 2010
  naskia waki-take aim/

  wanarushia mascape goat hawawezi take blame/

  mwafrika na-absorb pain/

  politic,mziki wanabonga lame/

  hii ni war baridi,war psyhcolological ikizidi/

  nakumbuka reverse psychology referendum ya 2005/

  walijidai wanataka Yes,Raila influential,walijua watafjiwekea powers right/

  wanawika tuna rights,but tuna-write vile saa hii hakuna lights/..kwa brain!

  tulizima reason,brain-wash season/

  sema ukweli - inakuwa treason../

  c zone,nabagua arms../

  ni pen ama mic nispit psalms../za

  vile ntajifree from hii fall../

  Yes No,najistiri nisitupe weak call/

  checki High Priest awashow vile hizi blak thoughts zina-roll../
 • Vote Up0Vote Down
  edited May 2010
  eyo tuko freestyle basements /

  tuki drop ma sentiments/

  hi ni soul searchin/

  aunipati kwa modulations/

  but uki dai deep mediattion/

  unaeza nipa some attention/

  ku banjuka ni poa na si chuki genge/

  but kuna time unafa ku change diet ya brain/

  ku avoid mental malnutrition/

  hizi lines zina kubalancia diet/

  yani niko cipher collabo na street poet/

  kumanisha hip hop bado iko/

  word play timam heads wana finya replay/

  siandikangi daily,but nikishaika pen /

  na drop lyrical monuments/

  peace to the fam mizani,couzifer,fikrah,

  eyo qham ongeza mistari cipher iwake
 • Vote Up0Vote Down
  edited May 2010
  [quote name="tha high priest"]peace to the fam mizani,couzifer,fikrah,

  eyo qham ongeza mistari cipher iwake[/quote]

  eyo mzuka mtu wangu,mistari timam wacha tuiep vimajor,,narudi kudrop feed cipher iwake.
 • Vote Up0Vote Down
  edited May 2010
  na "chip" in hii cipher na ku-flow ka data...

  za ma-computer maMC's wanabaki kudata

  naona ni Red Green then naskia ni Yes No

  oh no! labda niko color blind but hii mind...

  iko clear naeza swear, maMPs bado wata-get twisted

  undecided wengine wana-remain divided

  mwananchi nisha-take sides kwa battle field

  weapon iko lethal nai-concele nangoja whistle

  nasiongei rungu na mapanga niliona 2007/08

  niko armed phsycologically lakini pia physically niko fit

  uliza Qham atakushow hii war ni baridi na sio jihad

  ukizubaa mchizi una-freeze na tunazidi ku-breeze

  maintain mind yako at ease na usikubali mtu aku-tease

  brain iko punctured thoughts zinafanya ku-ooze

  cipher inazidi ku-flow wisdom bado tunawashow

  na msilete show eti juu tunabonga "sauti ya chini"

  hio ni metaphor jaribu kuielewa kwanza!!!

  ama consult high priest, Qham, fikrah pia mizani
 • Vote Up0Vote Down
  edited May 2010
  good to see you in here couz :D lets kill this...

  [quote name="Couzifer"]cipher inazidi ku-flow wisdom bado tunawashow

  na msilete show eti juu tunabonga "sauti ya chini"[/quote]

  magharibi kusini, mashariki tupo sisi,

  firimbi ya mgambo keshalia, lakini naona machozi ya fisi,

  werevu umezidi, lakini msimamo wao baridi,so..

  wanashangaa tunavyo ng’aa,tushapeleka kwa mola zetu salaa,

  sauti za chini twapaza lakini echo ‘napaa,

  heko kwa hii clik, Mizani Couz Fikrah Priest na Qham,

  cipher imewaka moto,leteni rivals wa haki,

  tuwachome ka nyama choma,fry ufisadi,

  watakoma na zao sly itikadi,

  cheki tunavyopungua mamcee idadi,

  voice kwa street zatuhitaji,

  anzisha miradi ya kuamsha hivi vizazi,

  wamelazwa na tse tse flies, tadhani katiba tiba tatibu hizi maradhi
Sign In or Register to comment.
African Hip Hop Radio
Advertisement